13
Koti la Kobe Bryant lauzwa kwa zaidi ya Sh 910 milioni
Koti la marehemu mkali wa mpira wa kikapu, Marekani Kobe Bryant alilolivaa kabla ya mchezo wake wa mwisho wa NBA limeuzwa kwa dola 336,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 910 milioni.Vaz...
03
Timu ya Lakers yatoa heshima kwa Kobe na mwanaye
Timu ya mpira wa kikapu kutoka Marekani ‘Los Angeles Lakers’ siku ya Jana Agosti 2, imezindua sanamu la marehemu nguli wa kikapu Kobe Bryant na mwanaye.Kufuatia na...
24
Kabati la Kobe laingizwa sokoni
Kabati alilokuwa akihifadhia nguo marehemu Kobe Bryant, lililokuwa kwenye Uwanja wa Michezo wa Staples Center, uliopo Los Angeles, Marekani linapigwa mnada.Kabati hilo ambalo ...
23
Messi ndiye mwanasoka anayependwa zaidi Marekani
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami Lionel Messi anatajwa kuwa ndiye mwana-soka anayefuatiliwa na kupendwa zaidi nchini ...
16
Mchoro wa picha ya marehemu Kobe wamponza mmiliki wa gym
Mmiliki wa gym ya Hardcore Fitness iliyoko jijini Los Angeles ajikuta kwenye vita na mwenyenyumba, baada ya kuweka mchoro wa marehemu Kobe Bryant na wanaye katika ukuta wa nyu...
12
Mfahamu binadamu anayeongozana na kobe wake
Katika ulimwengu kila binadamu huwa na chaguo lake hasa katika ufugaji ndiyo maana kuna wengine hufuga kuku, mbuzi, paka, bata na viumbe wengine. Katika ufugaji wa aina yoyote...
28
Wanyama wenye vichwa viwili
Ni ajabu na nadra sana kuona viumbe wenye vichwa viwili, kwa haraka unaweza dhani upo ndotoni, lakini ukweli ni kwamba viumbe wa aina hiyo wapo na wanaishi kama waishivyo weng...
08
Kobe mzee duniani asheherekea kutimiza miaka 190
Kobe mwenye umri mkubwa zaidi duniani alietambulika kwa jina la Jonathan amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 190. Jonathan anadhaniwa kuzaliwa mwaka 1832 n...

Latest Post