Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk Patrice Motsepe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha mchezaji wa klabu ya Modern Future ya Misri, Ahmed Refaat.
Kupi...
'Klabu’ ya #Yanga imetoa taarifa kuwa Afisa Habari wa ‘timu’ hiyo #AliKamwe anaendelea vizuri kwa sasa, baada ya kupata matatizo ya kiafya dakika chache kabl...
Mamboz!!! Uhali gani mfanyakazi mwenzangu nikwambie tu tumekutana tena this weekend kwenye segement yetu ya kazi kama kawaida hapa lazima nikuelekeze mambo yote yanayo husiana...
Supu ni chakula maarufu sana, katika milo ya kila siku na mara nyingi huliwa asubuhi kama sehemu ya kifungua kinywa.
Lakini unajua kama supu hususani iliyochemshwa vizuri kuto...
Machungwa yamejaa vitamini na madini, lakini je, yanaweza kuzuia homa? Tunaangazia kwa undani jinsi matunda haya yanaweza kuchangia ustawi wa afya yako.
Machungwa ni nini?
Chu...
Mark Lewis
Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Mtu hupata ms...
Boga (Pumpkins) ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake h...
Hellow! Another furahi day watu wangu wa nguvu, leo bwana katika afya tumewasogezea jambo ambalo kila mtu litamshangaza kidogo kwasababu wamezoea kuwa ni kiungo cha mboga tu, ...
Uvutaji wa tumbaku inayotumika kutengeneza sigara ni tabia hatarishi inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa mvutaji na watu wa karibu yake wanaovuta moshi anaoutoa.
Licha y...
Ni Alhamisi nyingine tena, yenye utulivu na usikivu kwa wasomaji wangu wa nguvu kabisa. Naamini wengi wenu mpo salama kabisa hapo chuoni na mmekaa mkao wa kupokea nilichowaand...
Na Aisha LungatoMazoezi ni njia moja wapo ya kutufanya tuwe vizuri na wenye afya njema. Kama unahitaji zoezi ambalo litanufaisha sehemu mbalimbali za mwili wako, push up ni zo...
Ee bwana mara nyingi vijana wengi huingia katika mahusiano na baadae hujihusisha na kitendo cha kujamiana bila kujua jambo hilo lina faida gani kiafya.
Leo katika makala ya af...