Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy amedai kuwa ngoma yake ijayo ndio itakuwa ngoma bora kushinda ngoma zote zilizotoka mwaka huu.
Mwanamuziki huyo ameyasema hayo kwen...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani Justin Timberlake ameripotiwa kukamatwa na polisi baada ya kukutwa anaendesha gari akiwa amelewa.
Kwa mujibu wa ABC News, ilieleza kuwa af...
Mmiliki wa mtandao wa X zamani (Twitter) #ElonMusk amepinga kampuni ya Apple kutumia mfumo wa akili bandia (AI) kwenye iPhone na vifaa vyingine.
Musk ameweka wazi kuwa hakubal...
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown ameweka wazi kuwa anaposahau mistari ya nyimbo zake akiwa stejini huwa anawaachia mashabiki waimbe.Brown ameyasema hayo kwenye moja ya ...
Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengw...
Pelagia Daniel Pekosi ni aina ya suruali yenye muonekano unaoshika mwili kuanzia usawa wa kiuno hadi kwenye magoti wa juu lakini upande wa miguuni huachia kwa upana tofauti na...
Kinda wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge aliyepo Russia anakoshiriki mashindano ya Games of the Future amekutana na staa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Russia, Andr...
Baada ya wadau wa muziki kuchukizwa na kitendo cha msanii kutoka nchini Nigeria Ayra Starr kumpita Meneja na mama mzazi wa Burna Boy, Bi Bose Ogulu bila kumsalimia wakati wa s...
Wanasema jinsi utavyopenda na kuitunza kazi yako ndivyo watu wengine wataiheshimu. Mfahamu Jideobi Chiamaka Favour mwanadada kutoka nchini Nigeria ambaye amewashangaza wengi k...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa
Inaelezwa kuwa polisi walimf...
Mchezaji wa zamani wa ‘Soka’ David Beckham kutoka nchini Marekani ambaye kwa sasa ni Rais wa ‘Klabu’ ya Inter Miami ameweka wazi kuwa make-up artist wa...