Waendesha mashitaka wa serikali ya Marekani wameripotiwa kuleta waathiriwa wengine wawili wanaodaiwa kuwa na madai mapya dhidi ya ‘Rapa’ Diddy.Kwa mujibu wa tovuti...
Mshtaki wa ASAP Rocky ambaye ni rafiki yake wa zamani ASAP Relli, anaripotiwa kutoa ushahidi siku ya jana Januari 28 kwa kuelezea mashtaka mawili ya unyanyasaji aliofanyiwa No...
Binti wa mwanamuziki na mwigizaji Tyrese Gibson, Shayla (18), amkataa mama yake aitwaye Norma Mitchell na kwenda kuishi kwa baba yake huku akishusha lawama kwa mama huyo.Katik...
Mtangazaji na mfanyabiashara Marekani Paris Hilton amerudi kwenye nyumba yake iliyoharibika vibaya na moto ulioteketeza makazi ya watu katika Milima ya Hollywood, California.H...
Mhusika wa kubuni anayetambulika kama Batman rasmi ametunukiwa nyota ya heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’ mchana wa jana Alhamis Septemba 26, 2024.Kwa mujibu wa ...
Marehemu mwigizaji kutoka Marekani Carl Weathers ameripotiwa kutunukiwa nyota ya heshima kutoka ‘Hollywood Walk of Fame’ wiki ijayo, kufuatia na mchango wake katik...
‘Rapa’ Blueface ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela, baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mlinzi wa hoteli mwaka 2012 huko North Hollywood.TMZ iliripoti kuwa me...
Mwanamuziki kutoka Marekani Card B ametunukiwa tuzo ya muhamasishaji bora mitandaoni katika usiku wa tuzo za ‘Hollywood Unlocked Impact Awards’ zilizotolewa siku y...
Mwigizaji Donald Sutherland, kutoka nchini Canada aliyejulikana kupitia filamu zake kama ‘The Hunger Games’ na ‘MASH’, amefariki dunia akiwa na umri wa...
Sokwe maarufu wa marehemu mkali wa Pop Michael Jackson, aitwaye Bubbles ameripotiwa kufikisha miaka 40 ambapo kwasasa anatunzwa katika kituo cha kulea wanyama cha Apes Wauchul...
Baada ya kuandamwa na kesi za unyanyasaji wa kingono huku baadhi ya makampuni aliyokuwa akishirikiana nayo yakivunja mikataba, sasa wadau mbalimbali wanataka nyota ya mkali wa...
Baada ya kutangazwa na watoaji wa nyota za heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’siku chache zilizopita, hatimaye ‘rapa’ na producer Dr Dre tayari ametunu...
Producer na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Dr. Dre anatarajiwa kutunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame Machi 19, mwaka huu katika Jengo la Hollywo...
Muigizaji Angus Cloud kutoka nchini Marekani ambaye alifiwa na baba yake wiki moja iliyopita naye amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa mama yake zinadai k...