Rapa Cash Out, ambaye jina lake halisi ni John-Michael Hakeem Gibson, amehukumiwa kifungo cha maisha jela pamoja na miaka mingine 70 siku ya Jumatatu baada ya kupatikana na ha...
Wakati rapa na msani wa Bongo Fleva, Billnass akifanya mahojiana leo na moja ya chombo cha habari nchini, aliulizwa changamoto gani iliyopelekea kumzuia mke wake mwanamuziki, ...
Mama wa mwanamuziki Sean Kingston, Bi Janice Turner (63) amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia pamoja na mwanae Kingston katika kesi ya madai ...
Mwigizaji maarufu kutoka India amefichua sababu iliyopelekea kuhifadhi mayai yake ya uzazi akiwa na umri wa miaka 30.Katika mahojinao yake na ‘Armchair Expert ya Dax She...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Jane Doe amemshitaki rapa Card B kwa kumpiga na kipaza sauti ‘Microphone’ tukio ambalo lilitokea wakati wa onesho Drai&rsq...
Moja ya wimbo unaotamba katika mitandao ya kijamii ikiwemo Tiktok na Instagram ni wa rapa kutoka Marekani Nicki Minaj ‘High School’ wimbo ambao amemshirikisha Lil ...
Hali ya mwigizaji kutoka Ujerumani, Bruce Willis imeendelea kuwa mbaya, sasa ameripotiwa kupoteza kumbukumbu.Willis, alibainika kuwa na maradhi ya Frontotemporal Dementia (FTD...
Mwaka 1963 dunia iliipokea filamu kubwa ya Cleopatra ambayo iliwavuruga wengi kutokana na urembo wa muhusika mkuu Elizabeth Taylor.Licha ya kupokelewa na watu wengi kampuni ya...
Baadhi ya waimbaji wa Bongofleva wanasifika kwa utunzi wa nyimbo nzuri za mapenzi ila Mbosso amefanikisha katika tungo zake za namna hiyo kutokana na kuimba vitu tunavyoviishi...
Peter Akaro Mashabiki wanawaona kama wanamuziki waliopendana kisha wakafanya muziki, lakini kuna watu wanawatazama kama Baba na Mama wameamua kufanya muziki pamoja.Hilo ni mar...
Siku kadhaa zilizopita ilizuka sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii baada ya Andy Byron, ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya teknolojia ya Astronomer Inc. ya nchini ...
Msanii wa muziki wa Hip hop nchini, Msamiart ameweka wazi sababu inayofanya atumie majina ya waasisi wa taifa la Tanzania kwenye nyimbo zake.Akizungumza na Mwananchi, Msamiart...
Kwa sasa Rayvanny ni miongoni mwa wasanii waliofanikiwa sana katika Bongofleva akiwa ametoa albamu moja, EP nne na kushinda tuzo za ndani na kimataifa kitu kinachompa heshima ...