Kampuni ya ‘Paul Dalton's Miracle Detail’ inatajwa kuwa ndio kampuni yenye gharama zaidi duniani katika uoshaji wa magari. Huku ikitumia dola 15,000 ikiwa ni zaidi...
Kanali Mubarak Saeed, Mkuu wa Kitengo cha Doria cha Polisi wa Watalii nchini Dubai, amewakabidhi polisi nchini humo magari yenye kasi zaidi ambayo yatabeba watalii wanaoelekea...