Hizi hapa gari za polisi nchini Dubai

Hizi hapa gari za polisi nchini Dubai

Kanali Mubarak Saeed, Mkuu wa Kitengo cha Doria cha Polisi wa Watalii nchini Dubai, amewakabidhi polisi nchini humo magari yenye kasi zaidi ambayo yatabeba watalii wanaoelekea Downtown, JBR, na Jumeirah.

Mubarak ametoa aina mbalimbali za magari hayo yakiwemo Bugattis, Ferraris, na Lamborghinis kwa lengo la kuwavutia watalii na kuwafikisha mahali husika kwa haraka zaidi.

kutizama video hiyo pitia ukurasa wetu wa Instagram @Mwananchiscoop






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags