Peter Elias, MwananchiDar es Salaam. Je, umewahi kusikia siku ya muziki wa reggae duniani? Basi, siku hiyo ipo, ni leo. Siku hii huadhimishwa Julai Mosi ya kila mwaka ambapo u...
Kesi ya madai inayomkabili mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ya kumpiga na chupa mtayarishaji wa muziki Abe Diaw tukio lililotokea jijini London kwenye moja ya klabu ya...
Majaji wameanza majadiliano rasmi katika kesi inayomkabili rapa maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadam...
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Mussa Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ inaendelea kuimarika ikiwa ni takribani wiki tatu tangu apate ajali ya moto na kufikishwa katika...
Waliosema aisifiaye mvua imemnyeshea, wala hakukosea baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyeibuliwa na Kituo cha Mkubwa na Wanae kisha kutamba na Yamoto Ban...
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Marekani, Vin Diesel amethibitisha kuwa Uhusika wa marehemu Paul Walker, anayejulikana kwa jina la Brian O’Conner katika mfulu...
Nguli wa muziki wa Hip-hop nchini, Webiro Wassira 'Wakazi' amesema kuboresha maisha na tabia binafsi inaweza kuwa njia bora ya kuibua wasanii watakaoweza kutumbuiza ...
Zanzibar. Uganda imeibuka mshindi mkuu katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) 2025 , ikichukua idadi kubwa zaidi ya tuzo katika makundi mbalimbali.
Katika ta...
Peter AkaroWatu kuhama nchi zao kwa kipindi fulani na kwenda kuishi ughaibuni sio jambo geni kwani ni utamaduni wa miaka mingi, utafutaji wa fursa za kimaisha, masomo na famil...
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis 'Kitundu' umezikwa leo Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes, Temeke.Kitundu alifariki dunia Jumanne jio...
Waendesha mashtaka nchini Marekani wamefuta baadhi ya mashtaka dhidi ya mwanamuziki Sean “Diddy” Combs, ikiwa ni siku moja kabla ya kusikilizwa kwa hoja za mwisho ...
Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa. Katika wimbo huo ulioshika namba moja chat...
Peter AkaroMwimbaji Beyonce katika kitabu chake, Become Beyonce: The Untold Story (2015) amefichua jinsi mama yake mzazi, Tina Knowles alivyokomesha mara moja mahusiano yake n...