01
Muziki wa reggae unavyotumika kuchochea fikra za ukombozi Afrika
Peter Elias, MwananchiDar es Salaam. Je, umewahi kusikia siku ya muziki wa reggae duniani? Basi, siku hiyo ipo, ni leo. Siku hii huadhimishwa Julai Mosi ya kila mwaka ambapo u...
01
Kesi Inayomkabili Chris Brown Yafutwa
Kesi ya madai inayomkabili mwanamuziki kutoka Marekani, Chris Brown ya kumpiga na chupa mtayarishaji wa muziki Abe Diaw tukio lililotokea jijini London kwenye moja ya klabu ya...
01
Majadiliano yaendelea hatma ya Diddy
Majaji wameanza majadiliano rasmi katika kesi inayomkabili rapa maarufu wa Marekani, Sean “Diddy” Combs, ambaye anakabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadam...
01
Hali ya Mushizo bado, moshi waingia kwenye kifua
Hali ya mwanamuziki wa Singeli Mussa Ramadhan maarufu ‘Dj Mushizo’ inaendelea kuimarika ikiwa ni takribani wiki tatu tangu apate ajali ya moto na kufikishwa katika...
30
Aslay afichua yaliyomkuta kwa Mnigeria
Waliosema aisifiaye mvua imemnyeshea, wala hakukosea baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini aliyeibuliwa na Kituo cha Mkubwa na Wanae kisha kutamba na Yamoto Ban...
30
Tegemea uhusika wa Paul Walker kwenye 'Fast & Furious
Mwigizaji na mtayarishaji wa filamu nchini Marekani, Vin Diesel amethibitisha kuwa Uhusika wa marehemu Paul Walker, anayejulikana kwa jina la Brian O’Conner katika mfulu...
30
Picha lilivyoanza kati ya Beckham na Victoria wa Spice Girls  
Peter AkaroAkiwa na rafiki yake wakitazama runinga katika chumba cha hoteli, David Beckham (50), alimuona Victoria (51), katika vi...
30
Wakazi: Hawawezi kufanya kama mimi, wanataka vitu vya haraka
Nguli wa muziki wa Hip-hop nchini, Webiro Wassira 'Wakazi' amesema kuboresha maisha na tabia binafsi inaweza kuwa njia bora ya kuibua wasanii watakaoweza kutumbuiza ...
30
Uganda yanyakua tuzo nyingi ZIFF 2025
Zanzibar. Uganda imeibuka mshindi mkuu katika Tamasha la 28 la Kimataifa la Filamu (ZIFF) 2025 , ikichukua idadi kubwa zaidi ya tuzo katika makundi mbalimbali.  Katika ta...
27
Watimkia ughaibuni na sanaa yao
Peter AkaroWatu kuhama nchi zao kwa kipindi fulani na kwenda kuishi ughaibuni sio jambo geni kwani ni utamaduni wa miaka mingi, utafutaji wa fursa za kimaisha, masomo na famil...
26
Kitundu azikwa makaburi ya Wailes
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa Jua Kali Raidanus Vitalis 'Kitundu' umezikwa leo Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes, Temeke.Kitundu alifariki dunia Jumanne jio...
26
Kesi Ya Diddy Yapigwa Msasa, Mashtaka Mengine Yafutwa
Waendesha mashtaka nchini Marekani wamefuta baadhi ya mashtaka dhidi ya mwanamuziki Sean “Diddy” Combs, ikiwa ni siku moja kabla ya kusikilizwa kwa hoja za mwisho ...
26
Kama sio mapenzi usingesikia nyimbo hizi Bongo
Staa wa muziki wa Singeli Bongo, Dulla Makabila amewahi kuachia wimbo 'Furahi' kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa. Katika wimbo huo ulioshika namba moja chat...
26
Kisa cha Beyonce kuzabwa makofi na mama yake
Peter AkaroMwimbaji Beyonce katika kitabu chake, Become Beyonce: The Untold Story (2015) amefichua jinsi mama yake mzazi, Tina Knowles alivyokomesha mara moja mahusiano yake n...

Latest Post