Katika miaka ya hivi karibuni, teknolojia imekuwa na mchango mkubwa katika sekta ya burudani. Kuanzia muziki, filamu, michezo, hadi sanaa nyingine kama vile uchoraji, teknoloj...
Ubunifu ni kati ya kitu muhimu kwa wasanii kama njia ya kuwapa utambulisho na kuwafanya waendelee kujitengenezea utofauti. Ili kuwa na utofauti wapo waliowekeza ubunifu kwenye...
Mwaka 2023, sekta ya sanaa na burudani iliongoza kwa kuwa na ukuaji wa asilimia 17.7.
Hayo yamo katika taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023 iliyowasilishwa bungen...
Serikali imeweka wazi kuwa inampango wa kukuza ajira kwa vijana katika sekta ya michezo, sanaa na burudani.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mw...
Mwaka 2023 ukiwa unaelekea kukatika mtandao wa Google tayari umetoka matukio yaliyoongoza kutafutwa kwenye mtandao huyo.
Google imetoa matukio hayo katika sekta mbalimbali iki...
Mwanamuziki mkongwe nchini #Nigeria, #SeunKuti amedai kuwa muziki wa Nigeria unafanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu wamewekeza pesa nyingi kwenye muziki na sio elimu.
Kwa mu...
Baada ya nyota wa muziki #Diamondplatnumz, kutupa dongo upande wa pili mara tu wimbo mpya wa #Zuchu kufanya vizuri na kuingia trending number one kwenye mtandao wa #YouTube, v...
Upepo wa mwaka 2022 na 2023 umeonekana kuwa na baraka kwa baadhi ya wanawake maarufu Tanzania, kutokana na wengi wao kupata watoto kwa mara ya kwanza, huku baadhi yao wa...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, ametoa Spotify playlist yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali, alizozipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanz...
Mambo, niaje wadau wa michezo na burudani? Wiki hii bwana nimekusogezea mchongo huu hapa ambapo nakukutanisha na mtoto mdogo sana ambaye ana kipaji cha sanaa ya uchoraji.
Mtot...
Ebwanaaa eeeh!!! Ijumaa ya leo ndani ya makala za michezo na burudani nimekuletea michezo mitano mashuhuri au maarufu ambayo inakubalika zaidi barani Afrika .
Unaambiwa asili ...