21
Kinywaji bure kama utaacha simu kwa muhudumu
Mgahawa maarufu kutoka nchini Italia uitwao ‘Al Condominio’ umekuja na mpango kabambe wa kuzuia wateja wake kutotumia simu wakati wa kula ambapo wametoa ofa ya kuw...
12
Wema, Zari faida kwa Mondi
Pamoja na yote Wema aliondoka kwenye mbavu za Mondi, huku akimuachia msela faida nyingi zaidi, alimpa umaarufu mkubwa. Kama hiyo haitoshi akampa na Kiingereza juu, msela akaan...
17
Tiketi bure, Vaa jezi yenye nembo ya GSM
Meneja Habari na Mawasiliano wa ‘klabu’ ya #Yanga, #AliKamwe amesema Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ amenunua tiketi zote za mzunguko kwenye mechi ya marudi...
06
Offset agawa nguo na Internet bure
Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #Offset ameweka heshima nyumbani kwao Atlanta baada ya kushirikiana na mfuko wa Ann Cephus kwa kuwapatia maelfu ya watu vitu ikiwemo nguo ...
27
Serikali Austria yatoa ofa usafiri bure kwa wenye ‘tattoo’
Serikali nchini Austria imesema itatoa ofa ya usafiri wa treni bure kwa mwaka mzima kwa watu watakaochora ‘tattoo’ yen...
09
Gym za bure Mitaani nchini India
Suala la ufanyaji mazoezi limekuwa  likisisitizwa sana kwa jamii lengo ikiwa ni kuimarisha mwili ili kuondokana na baadhi ya magonjwa, kwa upande mwingine inaonekana baad...
21
Safia Jongo: Ukiingia polisi bure, na kutoka ni bure
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu za...
28
Maharusi kupewa kumbi za kufanyia sherehe bure, Korea Kusini
Kampuni moja kutoka nchini Korea Kusini iitwayo Hana Financial Group imetangaza kutoa bure kumbi na maeneo yake kwa ajili ya maharusi wapya kufanya sherehe zao ikiwa ni sehemu...
03
Ufaransa vijana kupewa condom bure
Inasemekana kuwa Kuanzia Mwezi huu wa January,2023 Vijana wa Ufaransa wataagana rasmi na bajeti za kununua condom kwakuwa condom zitaanza kugaiwa bure kwenye maduka yote nchin...
10
Serikali Kenya kufungua vituo 25,000 vya huduma za intaneti ya bure
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali nchini Kenya, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure ni kukidhi hitaj...
15
Pedi kutolewa bure, Scotland
Scotland itakuwa Nchi ya kwanza duniani kuanzisha sheria ya kulinda haki ya bidhaa za hedhi na kutolewa bure nchini humo ambapo leo jumatatu sheria ya bidhaa za kipindi itakap...
23
Namna ya kutengeneza masoko bure kupitia blogger
Ni wazi kuwa hivi karibuni watu wengi sana biashara za mtandaoni zimekuwa na thamani kubwa, hii ni kutokana na janga la COVID-19 ambalo limelazimisha watu wengi duniani k...

Latest Post