07
Hili hapa chimbuko la jina Chaz Baba
Mwanamuziki wa Dansi nchini Charles Gabriel Mbwana 'Chaz Baba' amefunguka kuwa jina analotumia sasa ambalo watu wanalitambua alipewa na aliyewahi kuwa mwanamuziki nyota wa dan...
30
Samatta, Flaviana Matata, Ramadhan Brothers Kushikana Mashati Tuzo Za TMA
Ikiwa ni muendelezo wa kutaja majina na vipengele mbalimbali vinavyowania tuzo za Tanzania Music Awards (TMA), sasa vimetajwa vipe...
27
Simanzi ilivyovamia nyumbani kwa Maria Carey
Mwimbaji wa muziki nchini Marekani Maria Carey (59) amethibitisha kufiwa na mama yake Patricia pamoja na dada yake mwishoni mwa wiki iliyopita.Katika taarifa yake aliyoitoa si...
23
Mfahamu mwanamke aliyebana kiuno, tumbo ili kumridhishe mumewe
Aliyesema mapenzi upofu wala hakukosea, kwani watu hujikuta wakifanya baadhi ya mambo kwa lengo la kuwaridhisha wanaowapenda. Kutokana na mapenzi mfahamu Ethel Granger mwanama...
22
Ndugu asimulia Marco wa Zabron Singers alivyopambania uhai wake
Dar es salaam. Familia ya aliyekuwa mwimbaji wa kundi la Zabron Singers Marco Joseph imesema chanzo cha kifo cha ndugu yao ni tatizo la moyo lilitokea ghafla akiwa nchini Keny...
13
H Money adondosha Tic Tik na Reekado Banks
Prodyuza wa muziki wa kimataifa, Harmony Samuels a.k.a H Money, ameachia wimbo mpya uitwao 'Tic Tik' akimshirikisha gwiji kutoka Nigeria, Reekado Banks.Katika wimbo huo wenye ...
09
Ruger: Naacha Muziki
Mwanamuziki kutoka Nigeria Ruger amedai kuwa anataka kuacha muziki ili aweze kuwa video king, hii ni baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo kutoka katika kundi la Clean Band...
02
Cheni ya akili bandia inayoweza kukupa kampani wakati wowote
Mwanafunzi aliyeacha masomo katika Chuo kikuu cha Harvard aitwaye Avi Schiffmann kwa mara ya kwanza amevumbua kifaa cha akili bandia (AI) kiitwacho ‘Friend’ kwa le...
01
HAPAWARDS 2024 Wasanii Bongo wakabana koo
RHOBI CHACHANi nani atakayeibuka mshindi wa tuzo za Hollywood and African Prestigious Awards (HAPAWARDS)? Ni swali linalosubiriwa kujibiwa kwenye usiku wa kinyang'anyiro cha t...
20
Katazo wanamichezo wanawake kuvaa hijabu lazua mijadala
Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa michuano ya Olimpiki nchini Ufaransa, uamuzi wa nchi hiyo kuzuia wanawake kuvaa hijabu katika michuano umezua mijadala na upinzani kutoka...
13
Baada ya mika sita ya uchumba Eddie Murphy afunga ndoa
Mwigizaji kutoka nchini Marekani, Eddie Murphy amefunga ndoa na mpenzi wake wa Paige Butcher baada ya kudumu mika sita kwenye uchumba. Inaelezwa kuwa wanandoa hao waliokuwa kw...
11
Celine Dion kutumbuiza olimpiki Paris 2024
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza  katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
10
Salha afunguka, Sababu muziki wa taarab kusuasua
Mwanamuziki wa taarab, Salha Abdallah, ametoa ufafanuzi juu ya changamoto zinazokumba muziki wa taarabu na jinsi ambavyo umepoteza umaarufu wake katika miaka ya hivi karibuni....
06
Maneno yaliyotumika kwenye kibango ya Lavalava yatolewa ufafanuzi
Baada ya wadau mbalimbali wa muziki Bongo kutafsiri vibaya baadhi ya maneno katika wimbo wa mwanamuziki Lavalava uitwao ‘Kibango’ kuwa hauna maadili kwenye maneno ...

Latest Post