‘Material Girl’ ni wimbo wa mwanamuziki kutoka Uingereza Madonna ambao aliuachia rasmi Januari 23, 1985 wimbo huo ulimpatia mafanikio makubwa ya kimuziki pamoja na...
Mzazi mwenzie na Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari the Boss Lady’ amedai kinachokwamisha Wabongo wengi kutoshiriki kwenye kipindi cha ‘Young, Famous &am...
Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.Siku hi...
Uchunguzi bado unaendelea Los Angeles katika kesi inayomkabili rapa ASAP Rocky, ambaye anakabiliwa na mashtaka mawili ya uhalifu, akidaiwa kumpiga risasi rafiki yake wa zamani...
Mwanamuziki wa Hip Hop na mtangazaji nchini Frida Amani anatarajiwa kufanya show katika tamasha la Sauti za Busara 2025, linalotarajia kufanyika kuanzia Februari 14 hadi 16.St...
Mkali wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi hilo na akiwa pekee yake akifanya kazi na wasanii w...
Huu wimbo umemtia Diamond hasara tu!Staa wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Diamomd Platnumz ameshirikiana na wasanii wengi wa kimataifa ambao wameikuza na kuitangaza chapa yak...
Baada ya mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan kufanyiwa upasuaji wa dharura baada ya kushambuliwa na jambazi na kuchomwa kisu, hatimaye madakatari wameweka ...
Mwanamuziki anyeupiga mwigi ndani na nje ya nchi Diamond ameendelea kuonesha ukumbwa wake kwenye reality show ya ‘Young, Famous & African’ baada ya video zake ...
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
Mwanamuziki Zuchu ametuma barua ya wazi kwa bosi wake na msanii Diamond kufuatia na yanayoendelea katika mitandao ya kijamii kuhudiana na maswala mazima ya yeye kutaka kuolewa...
Jumapili ya Januari 12, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa 'Jux', Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania akitokea kwao Nigeria na kuthibitisha anatarajia kufunga ...
Gemu ya Hip-hop Tanzania kwa sasa ina majina mengi ya wasanii wanaofanya vizuri hususani wa kizazi kipya ambao kwa pamoja wanaitwa 'New Generation Ya Rap' hapo utakutana na ki...