20
Zuchu msanii wa kwanza wa kike kutoa albamu 2024
Hatimaye mwanamuziki Zuchu ameachia albamu yake ya kwanza tangu ametoka kimuziki miaka minne iliyopita kufuatia kusainiwa WCB Wasafi, akiwa ni msanii wa saba baada ya Harmoniz...
09
Rekodi alizoweka SZA kupitia albamu yake SOS
Leo Desemba 9 album ya SZA inayoitwa 'SOS' imetimiza miaka 2 tangu kuachiwa kwake huku, mkali huyo akitangaza kuachia toleo jipya la album hiyo ya SOS (Deluxe) hivi karibuni.H...
02
Mpango wa Cardi B kutoa albamu upo pale pale
Baada ya kutangaza kupeleka shauri mahakamani la kudai talaka pamoja na kuweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa tatu ‘rapa’ Cardi B anaripotiwa kuendelea na mp...
11
Celine Dion kutumbuiza olimpiki Paris 2024
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza  katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
08
Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP
Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasan...
28
Rayvanny aujaza uwanja wa Albania, Ulaya
Usiku wa kuamkia leo Juni 28, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Rayvanny alifanya show katika uwanja wa mpira wa ‘Air Albania Stadium’ na kupokelewa kwa shangwe na...
11
Albamu ya Zuchu mbioni kutoka
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
03
Mke wa Obama aikubali albamu ya Beyonce
Baada ya albamu ya mwanamuziki Beyonce iitwayo ‘Cowboy Carter’ kutajwa na mashabiki kuwa ndiyo albamu bora ya mwaka 2024, sasa imemfikia mke wa aliyekuwa Rais wa M...
11
Mtoto wa Kanye West mbioni kuachia albamu yake
Binti wa mwanamuziki Kanye West, North West (10) ametangaza ujio wa album yake wakati alipokuwa jukwaani na baba yake usiku wa kuamkia leo katika ‘Vultures 2 listening p...
11
Albamu ya kwanza ya Tems kuachiwa mwaka huu
Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwak...
09
Ice cream inayouzwa tsh 16 milioni
Kampuni inayohusika na utengenezaji wa Ice Cream kutoka nchini Japan ya Cellato imetengeneza ice cream ya bei kubwa zaidi duniani iitwayo ‘Byakuya’, inayogharimu d...
06
Kwenye GRACE ya Otile, yumo Rayvanny, Baraka, Eddie Kenzo
Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #OtileBrown, ametoa orodha ya nyimbo 11 zilizopo kwenye albamu yake mpya 'GRACE', inayotarajiwa kutoka Februari 23, 2024. Ndani ya albamu hiyo...
01
Usher ampa shavu Burna Boy
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #BurnaBoy amepewa shavu na mwananuziki wa Marekani Usher kwa kushirikishwa kwenye albamu yake iitwayo ‘Coming home’ inayotarajiwa...
13
Albamu noma kwa Tyla
Mwanamuziki kutoka nchini Africa Kusini Tyla ambaye anaendelea kuupiga mwingi kupitia wimbo wake wa ‘water’ ametaja wasanii na album zinazo muhamasisha zaidi ikiwe...

Latest Post