Selena Gomez, mwigizaji na mwanamuziki ambaye anaupiga mwingi katika tasnia ya burudani amefunguka kuwa itakuwa ni changamoto kwake kurudi kwenye muziki hii ni baada ya kufura...
Mwigizaji kutoka Marekani, Denzel Washington ameweka wazi kuwa hana wasiwasi wowote baada ya kukosa uteuzi katika tuzo za Oscar huku akidai kuwa anajivunia sana kazi zake kuli...
Wakati mashabiki wakiendelea kumpa Kendrick Lamar maua yake kutokana na alichokifanya kwenye ‘Super bowl Half Time Show’ 2025, tayari baadhi ya mashabiki wameanza ...
Ni ngumu kutaja orodha ya wasanii wakike wakubwa duniani na kuliacha jina la malkia wa pop Beyonce. Lakini licha ya umaarufu na mafanikio yake nyota huyo amekuwa akikosa amani...
Baada ya Kendrick Lamar kuzikomba tuzo 5 za Grammy wiki iliyopita, usiku wa kuamkia leo Februari 10,2025 alitumbuiza kwenye 'Half Time Show ya Super Bowl ya 59', iliyofanyika ...
Nyota wa soka wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki na mjasiriamali Hamisa Mobetto wameendelea kuibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuchapisha video zikidai wawil...
Mtanzania anayefanya maudhui ya vichekesho kupitia mpira wa miguu Zerobrainer ashinda tuzo ya Sports Creator of the Year TikTok Awards 2024 zilizofanyika Johannesburg South Af...
Staa wa muziki na mjasiriamali Rihanna, amejitokeza kukanusha video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akizungumza kuhusu manunuzi yake ya vitu vya gharama kub...
Msanii wa Afrobeat kutokea nchini Nigeria anaripotiwa kuja na biashara yake nyingine ya mavazi mwezi ujao.Kwa mujibu wa taarifa zinazo ripotiwa na vyombo vya habari nchini hum...
Rapa The Game ameweka wazi kuwa Kanye West alimpatia zawadi ya gari zake mbili aina ya Mercedes-Maybach S680s za mwaka 2025.Game ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa instagram...
Mwigizaji na mchungaji Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepinga mitazamo ya baadhi ya watu kuwa kufanya sanaa ni dhambi.Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano m...
Moja ya tukio ambalo limeteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vingi ndani na nje ya Tanzania ni kuhusiana na harusi ya mastaa wawili ni Jux na Priscilla ambao wamefan...
Kawanda cha muziki wa Hip-hop nchini kimebarikiwa kuwa na wasanii wengi wanaofanya kazi kwa kujitegemea. Lakini pia kuna makundi kadhaa ya muziki huo ambayo yamekuwa yakifanya...
Kesi inayomkabili Rapa A$AP Rocky imeendelea kupamba moto mahakamani huku ikidaiwa kuwa mwanamuziki huyo huwenda kuna siri anaificha ambayo hataki ifichuke.Kwa mujibu wa tovut...