Zuchu na Adekunle Gold kuachia ngoma mpya

Zuchu na Adekunle Gold kuachia ngoma mpya

Yees!! Karibu sana mdau kwenye ukurasa wa entertainment bila shaka huu ndiyo ukurasa muhimu kabisaa wa kuyafahamu mengi yanahusu burudani bwana ama nini?

Bila kukupotezea muda kijana mwenzangu wiki hii nimekudondoshea taarifa hii hapa inayomuhusu Msanii Zuchu pamoja na Adekunle Gold ambapo wasanii hawa wanakwenda kukiwasha hivi karibuni.

Tarajia kukutana na ngoma mpya kutoka kwa msanii Zuchu akiwa na msanii Adekunle Gold siku za hivi karibuni,ambapo Zuchu  ameshare unyama huo wa video  video na picha akiwa na msanii huyo huku akiwaambia mashabiki zake kuwa anaamini wapo tayari kupokea wimbo mpya huo.
-
''I hope Yall Ready ZUCHU X AG BABY ONE OF MY FAVORITE, '' Zuchu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags