ZUCHU: Bora nisahau nauli ila sio inhaler! Tanzanian Superstar struggles with Asthma

ZUCHU: Bora nisahau nauli ila sio inhaler! Tanzanian Superstar struggles with Asthma

Zuhura Othman maarufu kwa jina Zuchu ni msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye kwa muda mfupi tu tangu amesajiliwa na lebo ya WCB inayomilikiwa na msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekuwa msanii mkubwa hapa nchini.

Pamoja na kufanya vizuri katika tasnia ya muziki, Zuchu amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye ni mmoja kati ya watu   wanaosumbuliwa na ugonjwa wa asthma (Pumu).

This story is available exclusively to MWANANCHISCOOP members.
Become a #Scooper and start reading now.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags