Wema: Naahidi kusimama nao

Wema: Naahidi kusimama nao

Ni siku chache tuu tangu star wa bongo movie Wema Sepetu kuweka ahadi ya   kusimama na binti wa kike wa kitanzania akipambania changamoto zao zinazowakwamisha kwenye kujipambania ndoto zao, kuanzia shuleni na hata mitaani.

Wema alitoa ahadi hiyo nyumbani kwake Bahari Beach alipokuwa ameandaa Iftar maalumu kwa watu wake wa karibu ambapo alisema “Nataka kuweka ahadi ya kusimama na Binti, naweka ahadi ya kusimama na Mtoto wa kike”

Leo bwana kupitia ukurasa wake wa Instagram muigizaji huyo na mtayarishaji wa kipindi cha cook with Wema Sepetu ameanza kushare sehemu ya picha za project hiyo na ujumbe unaosema

 “Naahidi Kusimama nao Mungu nisaidie” ameandika Wema






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags