Mwanamitindo na mwigizaji kutoka Marekani Paris Jackson ambaye pia ni mtoto wa marehemu Michael Jackson ametangaza kuvishwa pete na mchumba wake wa muda mrefu Justin Long.Mape...
Tunajua unajua lakini tunakujuza zaidi, wakati Bongo baadhi ya vijana wakijitahidi kuficha hatua za ukuaji (balehe), lakini kwa tamaduni za Kusini mwa Angola hakuna siri kweny...
Mtoto wa mwanamuziki R. Kelly, Joanne Kelly amepanga kuachia filamu fupi (Documentary) itayoeleza matendo ya unyanyasaji yaliyokuwa yakifanywa na baba yake.Kupitia filamu hiyo...
Baba mmoja kutoka Pakistan ambaye hajawekwa wazi jina lake amewavutia wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumvalisha binti yake kamera ya ulinzi (CCTV) kichwani ili kuf...
Mwigizaji kutoka nchini India, #PriyankaChopra amempa pongezi mumewe #NickJonas na watu wengine walioshiriki kumlea binti yake Malti kwa wakati alipiokuwa katika kazi yake ya ...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy ameripotiwa kuwa hatokuwepo kwenye mahafari ya binti yake itwaye Chance (17) huku wadau wakieleza kuwa hatohudhuria katika sherehe hiyo ...
Binti wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Eminem, Hailie Jade Scott, ameripotiwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Evan McClintock ndoa hiyo iliyofungwa wikie...
Mtoto wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce, Blue Ivy (11) ameripotiwa kuwa sauti yake itatumiaka kwa mara ya kwanza katika filamu (animation) ya ‘Mufasa: The Li...
DIDDY AONEKANA AKILA BATA NA MABINTI ZAKEBaada ya kushutumiwa na kufunguliwa mashitaka dhidi ya kesi za unyanyasaji wa kingono huku kutojulikana alipo na sasa mwanamuziki Didd...
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
Muigizaji na mwandishi Jada Smith ameweka wazi kuwa anatamani binti yake Willow Smith apate mahusiano yanaayofanana na yake, yeye na mumewe Will Smith.Jada ameyasema hayo waka...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #YemiAlade amewashauri wanawake wasio na waume kuhakikisha wanafunga ndoa na wenzi sahihi na kuachana na mashinikizo kutoka kwa familia au m...
Waliosema kuishi kwingi kuona mengi, hakika walikuwa na maana kubwa, kwani kuna baadhi ya vitu ambavyo waweza dhani ni ngumu kufanyika lakini kutokana na maendeleo ya sayansi,...
Baada ya mtayarishaji mkongwe wa muziki kutoka nchini #Marekani, #SugeKnight kudai kuwa mwanamuziki na mfanyabiashara #Akon, aliwahi kumbaka binti wa miaka 13, hatimaye mwanam...