Wabunge Uganda kupinga mapenzi ya jinsia moja

Wabunge Uganda kupinga mapenzi ya jinsia moja

Wabunge wamewasilisha Bungeni muswada unaopendekeza adhabu mpya kali kwa wanaojihusisha/watakaojihusisha na uhusiano wa jinsia moja, licha ya ukosoaji kutoka kwa mashirika ya kutetea haki za binadamu.

Sheria hiyo ambayo imependekezwa kuwa, mtu yeyote anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja au anayejitambulisha kama LGBTQ anaweza kukabiliwa na kifungo cha miaka 10 jela.

Aidha wadau wa haki za binadamu wamelaani hatua hiyo na kutoa wito kwa wanasiasa kuacha kuwalenga watu wa LGBTQ kwa mtaji wa kisiasa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post