Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
Baada ya kusambaa kwa video kupitia mitandao ya kijamii zikimuonesha mwanamke akimpulizia mtoto mchanga moshi wa shisha. Mamlaka jijini Lagos nchini Nigeria zimeanza msako mka...
Twiga pekee mwenye rangi mweupe duniani anapatikana Kaskazini Mashariki ya Kenya Garissa, amefungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mienendo yake ya kila siku ili kumlinda dhidi ...
Kuna wakati unakutana na changamoto ya kunyanyaswa kijinsia na usiwe na uelewa kwamba kitendo ulichofanyiwa ni unyanyasaji lakini kwa sababu ya ukosefu wa uelewa juu ya elimu ...
Imekuwa kawaida siku za hivi karibuni wazazi watarajiwa kutumia mbinu mbalimbali kutambulisha jinsia ya mtoto wanaye mtarajia kwa kutumia rangi ya blue hutambulisha mtoto wa k...
Kufuatiwa na wimbi kubwa la malalamiko ya vikongwe kuhusu kulazimishwa kutoa urithi kwa watoto wao huko mkoani Shinyanga baadhi ya wazee wanadai kuwa wamekuwa wakitishiwa na w...
Mwalimu wa madrasa (chuo cha kislam) nchini Senegal anayeshukiwa kuwabaka wanafunzi wake 27 wa kike, amekamwatwa siku ya jana Jumatatu baada ya kulikimbia jeshi la polis...
Wabunge wamewasilisha Bungeni muswada unaopendekeza adhabu mpya kali kwa wanaojihusisha/watakaojihusisha na uhusiano wa jinsia moja, licha ya ukosoaji kutoka kwa mashirika ya ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto UNICEF, limefahamisha kuwa ndoa za utotoni na unyanyasaji wa kijinsia umeongezeka nchini Ethiopia.
Madaktari na wafanyakazi w...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewaonya wananchi wake dhidi ya kampeni zinazounga mkono haki za wapenzi wa jinsia moja akieleza kuwa jambo hilo ni haramu nchini humo.
Mwaka 2...
Jumla ya kesi 35 za ukatili wa kinjinsia na unyanyasaji wa watoto Mkoani Katavi zilipata mafaniko mahakamani katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba 2022 ukilinganisha n...
Bunge dogo la Urusi limepiga kura kwa kauli moja kuongeza marufuku yake kwa kile kinachoitwa "propaganda za mapenzi ya jinsia moja". Chini ya toleo la hivi punde la sheria, u...
Urusi inatarajia kupitisha muswada wa marufuku dhidi ya kueneza kile kinachoitwa "propaganda za wapenzi wa jinsia moja" kwa watu wote. Sheria itaruhusu taarifa yoyote kwenye ...