Serikali yapandisha umri wa kuoa na kuolewa miaka 18

Serikali yapandisha umri wa kuoa na kuolewa miaka 18

Taarifa kutoka uingereza ambapo kupitia Sheria mpya iliyoanza kutumika Nchini humo na Wales ambako awali Watu walikuwa wakioana wakiwa na Miaka 16 au 17 ikiwa watapata kibali cha Wazazi. Ndoa ilikuwa haramu endapo Mtoto Atalazimishwa au kupewa Vitisho

Mabadiliko hayo yanatarajiwa kuwalinda Watoto wanaoishi katika Mazingira magumu dhidi ya Ndoa za Lazima ambapo kuanzia sasa ni Kinyume cha Sheria kumuozesha au kumuoa Mtoto kwa kulazimisha au kwa ridhaa ya Wazazi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags