Sam Asghari athibitisha kuvunjika kwa ndoa yake

Sam Asghari athibitisha kuvunjika kwa ndoa yake

Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na ndoa ya muigizani na mwanamitindo Sam Asghari kuvunjika, hatimaye Sam amethibitisha na kuweka wazi kuvunjika kwa ndoa hiyo.

Kupitia #InstaStory yake ameeleza kuwa baada ya miaka 6 ya upendo na kujitolea kwa kila mmoja yeye na mkewe wameamua kumaliza safari yao pamoja na wataendelea kuwa na upendo na heshima kama walivyokuwa hapo awali, na alimalizia kwa kumtakia kila la kheri mtalaka wake huyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags