Ronaldo ndani ya kanzu

Ronaldo ndani ya kanzu

Mchezaji maarufu dunian Cristiano Ronaldo ambaye kwa sasa ni mchezaji wa klabu ya Al Nassr kutoka nchini Saudi Arabia bado anaendelea kukonga nyoyo za mashabiki zake nchini humo baada ya kuonekana katika video akiwa na wachezaji wenzake wakisherehekea siku ya taifa hilo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa klabu hiyo wame-share video ikimuonyesha Cr7 na wachezaji wenzake wakiwa wamevalia mavazi wanayopendelea kuvaa wanaume kwenye nchi hiyo ambayo ni kanzu na majambia (panga) kwa ajili ya kuadhimisha siku hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags