Ofisi za gazeti la Uingereza "The Guardian" zapata shambulizi la kimtandao

Ofisi za gazeti la Uingereza "The Guardian" zapata shambulizi la kimtandao

Ofisi za gazeti kongwe duniani la The Guardian nchini Uingereza zimepata shambulio la kimtandao ambapo shambulio hilo limeleta madhara makubwa katika vifaa vinavyotumika kila siku.

Imeelezwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya kidigitali na mifumo yake ya ndani ya taasisi kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumbani.

Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa. Kwa kawaida wanaofanya shambulio kama hilo hufunga mfumo wa kompyuta wa kampuni na kudai malipo ili kuiachia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post