Nay wa Mitego: watu wa karibu wamenikimbia

Nay wa Mitego: watu wa karibu wamenikimbia

Baada ya kuzuka tetesi za msanii  Nay wa Mitego kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa ajili ya majadiliano kuhusiana na wimbo wake mpya wa ‘amkeni’.

Kupitia Instagram ya msanii huyo ameshusha ujumbe ukieleza kuwa amebaki mwenyewe. Nay  ameandika,

“Nimebaki mwenyewe watu wangu wa karibu wote wamenikimbia team yangu yote ninayofanya nayo wametimka my manager nae”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags