26
Jina Nay wa Mitego lilianza hivi
Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu ku...
13
Diamond, Mobetto, Azizi Ki Watajwa Matukio Yaliyobamba 2024
Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
27
Nay anakabiliwa na mashitaka haya BASATA
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa manne yanayohusiana na wimbo wake wa &lsquo...
26
Kizungumkuti wito wa Nay BASATA
Wakati mwanamuziki Emmanuel Elibarick 'Nay Wa Mitego' akitoa taarifa ya kuitwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’ Katibu Mtenda...
26
Nay Wa Mitego Aitwa Basata
Msanii wa muziki Bongo Nay Wa Mitego ameitwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kufuatia wimbo wake wa ‘Nitasema’.Nay kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka w...
05
Nay wa mitego: mlioko kitaa msitamani maisha ya ma-star
Mwanamuziki wa hip-hop Nay Wa Mitego amewataka vijana ambao bado wako kitaani kuacha kutamani maisha ya Ma-star.Nay ameyasema hayo kupitia Instastory yake kwa kuwashauri vijan...
14
Nay wa Mitego atinga BASATA, Akabidhiwa muongozo
Baada ya wasanii mbalimbali kujitokeza Baraza la Sanaa Taifa, (BASATA) kufuata muongozo wa maadili katika kazi ya Sanaa msanii Nay wa Mitego amefika katika baraza hilo na kuch...
15
Nay wa Mitego hajafungiwa kufanya show
Baada kuzuka sintofahamu kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na suala la msanii wa hip-hop nchini Nay Wa Mitego kufungiwa kufanya show.Kupitia mahojiano ya na moja ya chombo...
29
Nay wa Mitego: watu wa karibu wamenikimbia
Baada ya kuzuka tetesi za msanii  Nay wa Mitego kuitwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa ajili ya majadiliano kuhusiana na wimbo wake mpya wa ‘amkeni’....
29
Wimbo wa nay amkeni wapigwa stop
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imetoa katazo kwa wimbo wa msanii wa #Hiphop  Nay wa Mitego, 'Amkeni' kupigwa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao ya kijami. Kupiti...

Latest Post