Mwili wa rais wa zamani Pakistani kurejeshwa nyumbani

Mwili wa rais wa zamani Pakistani kurejeshwa nyumbani

Aliyekuwa Rais wa zamani nchini Pakistan Pervez Musharraf ambaye alishiriki Mapinduzi ya Kijeshi Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa Miaka 79 alipokuwa akipatiwa Matibabu huko Dubai baada ya kuugua kwa muda mrefu

Aidha Musharraf aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa alipokuwa Rais. Aliondolewa Madarakani Mwaka 2008 baada ya kushindwa Uchaguzi


Hata hivyo mwaka 2016 aliondoka kwenda Dubai kutibiwa na tangu wakati huo hakurudi Nyumbani, lakini Mwili wake utarejeshwa Pakistan  kutokana na maombi ya Familia yake.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags