Marta amkumbuka Ex wake

Marta amkumbuka Ex wake

Mpenzi wa zamani wa mchezaji wa #ManchesterUnited, #SergioReguilon, Marta Diaz amedai kuwa hato msahau ex wake huyo kwa kuwa alikuwa ni nguzo muhimu katika maisha yake.

Kwa mujibu wa The Sun News imeeleza kuwa Marta ana mkumbuka Sergio kwasababu amemfanyia mambo mengi mazuri ambayo hata yasahau katika maisha yake licha ya wawili hao kuachana.

Sergio na Marta Diaz walichumbiana mwaka 2019 lakini mwishoni mwa mwaka huo huo uchumba wao ulivunjika.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags