Manara: Nipo tayari nifungwe miaka 10 ikithibitika nimemtukana

Manara: Nipo tayari nifungwe miaka 10 ikithibitika nimemtukana

Waswahili wanakamsemo kao bwana mambo yametaradadi huku kwa msemaji wa Yanga Sc Haji Manara ametoa kauli kuwa kama amemtukana au kumtolea maneno machafu Raisi wa shirikisho TFF, Wallace Karia afungwe miaka 10

Manara ameyasema hayo kupitia mkutano alioufanya na wanahabari na kueleza kuwa"Ikithibitika mimi nimemtukana au kumtolea neno lolote baya nifungwe jela miaka 10" amesemaHaji Manara

Ama kweli Manara kaamua, dondosha komenti yako hapo chini una kipi cha kumwambia msemaji wa mabingwa.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags