Kocha wa makipa wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya

Kocha wa makipa wa Simba akamatwa na madawa ya kulevya

Kocha wa makipa wa klabu ya Simba, Muharami Said Sultan amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroin.

Taarifa hizo zimetolewa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Aidha Kusaya amesema mamlaka hiyo imewakamata watuhumiwa 9 wakiwa na dawa za kulevya aina ya heroin yenye kilo 34.89 ambapo miongoni mwao ni Muharam ambaye pia amewahi kuwa mchezaji wa klabu hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags