JAYMELODY: Sitaki kumuharibu Paula Kajala

JAYMELODY: Sitaki kumuharibu Paula Kajala

Mitandao inachangia sana katika kujenga ama kuharibu watu wa rika mbalimbali. Kutumia vibaya mitandao kuna athari kubwa kuliko watu wengi wanavyodhania na pengine hii ndio sababu ambayo msanii JayMelody anajutia kuhusu mtoto wa muigizaji na mwanadada "Influencer," Paula Kajala.

Katika moja ya interviews alizofanya hivi karibuni kutokea media moja kubwa nchini, Jaymelody alisema kuwa alimpost Paula ila akaamua kuifuta na hii ni baada ya kushushia maneno na moja ya mashabiki wake.

"Ni kweli nilipost picha yake ila baadae nikaja kuifuta. Kuna shabiki mmoja aliandika 'Nyie ndo mnaomharibu huyu mtoto' na sikutaka kuwa mmoja wa watu wanaomharibu," alijibu msanii huyo.

Unaonaje? Kumpost Paula kunaweza kumharibu? Tupia comment yako.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags