Hersi akiwasha kwenye mchezo wa hisani Morocco

Hersi akiwasha kwenye mchezo wa hisani Morocco

Rais wa Yanga SC na Mwenyekiti wa Chama cha ‘klabu’ Afrika (ACA), Mhandishi Hersi Said jana Disemba 10 alishiriki kwenye mchezo wa hisani kati ya 'malejendi' wa ‘soka’ la Afrika dhidi ya wanasoka nchini Morocco.

Mchezo huu uliopigwa katika uwanja wa Grande Stade de Marrakech, ulikuwa ni maalumu kwa ajili ya kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea Morocco Septemba mwaka huu na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2,900.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags