Diamond anunua Helicopter yake

Diamond anunua Helicopter yake

Aiseee moja kati ya taarifa ambayo ina trend sasa hivi  ni hii hapa kubwa kabisa kutoka kwa mwanamuziki nyota nchini na CEO wa record label ya WcB Wasafi Diamond Plutnumz ambae kwa mara ya kwanza amethibitisha kununua usafiri wake binasfi wa angani Helicopter.

Taarifa hiyo bwana ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram kwenye instastory yake ambapo ameshare ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa kununua usafiri wake wa angani.

“God is good I bought me a helicopter today” Diamond Plutnumz

Mdau wa Mwananchi scoop neon moja kwa Simba kwa hatua aliyoifikia dondosha comment yako hapo chini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags