Davido anaishi kwa mashaka, Camera zamnasa akikataa chakula

Davido anaishi kwa mashaka, Camera zamnasa akikataa chakula

Baada ya siku kadhaa ‘kamera’ kumnasa msanii kutoka nchini Nigeria Davido kukataa maji kwenye maandamano ya kudai haki ya aliyekuwa msanii marehemu MohBad, kwa mara nyingine tena amenaswa akiondoa chakula alichowekewa na kumpatia mwenzake huku akichukua chakula chingine.
.
.
.
#MwanachiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags