11
Mitindo mizuri ya nywele ya kwendea kazini
Na Glorian Sulle Moja ya tatizo ambalo limekuwa likiwachanganya wengi haswa mabinti ni muonekano wa kichwani, yaani atatokelezea vipi akienda kazini wiki nzima. Kutokana na hi...
27
Miwani zenye saini ya Diddy zasitishwa kuuzwa
Kampuni ya America's Best Contacts & Eyeglasses imeripotiwa kusitisha kuuza fremu za miwani zenye saini ya Diddy kutokana na kuhusishwa kwenye kesi kadhaa za unyanyasaji w...
06
Simba inaongoza kwa wafuasi wengi mitandaoni
Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki. Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya...
31
Filamu ya Travis yageuka gumzo
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Travis Scoot kufanya vizuri kwenye muziki wa hip-hop, kwa kutoa ngoma kali kama vile ‘My Eyes’, ‘Butterfly Effect...
31
Kilichojificha nyuma ya nyimbo za Linex zenye hisia
Na Aisha Charles Sura yake imejaa hisia kali kuwasilisha anachomanisha, anapofumbua mdomo wake kuimba mashairi yanayosisimua moyo,  huku akifumba na kufumbua macho kusisi...
27
Nchi zenye mabilionea wengi mwaka 2023
Jarida la Forbes limetoa orodha ya mabilionea 2,640 duniani kwa mwaka 2023 ambao utajiri wao unawakilisha takribani dola 12.5 trilioni. Katika orodha hiyo Marekani imeongoza k...
13
Nchi kumi zenye maisha bora kwa 2023
Katika kumaaliza mwaka U.S. News imetoa ripoti ya nchi zilizo na maisha bora zaidi kwa mwaka 2023, kwa kuangalia vigezo vya usalama wa huduma ya afya, uthabiti wa kiuchumi na ...
02
Wanasoka wanaomiliki ndege binafsi zenye thamani zaidi
Baadhi ya watu maarufu duniani wamekuwa wakitamani na wengine kuwekeza kwenye umiliki wa ndege binafsi, wapo baadhi ya wanamuziki ambao tayari wanamikili vyombo hivyo vya usaf...
13
Maajabu ya nguo zenye rangi ya chui ‘leopard print’
Hellow my beautiful people, kumbuka leo tumeanza weekend mpya kama kawaida tunakutana tena hapahapa katika ulimwengu wa Fashion kuna mengi mapya this weekend nikusihi tu endel...
25
Fahamu uhusiano uliopo kati ya popcorn, Filamu
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kutaja movie kama sehemu yao ya starehe, tena wengine huenda mbali zaidi hutoka na kwenda sehemu maalum za kuoneshea movie kwa ajili ya kubu...
22
Wanafunzi walazwa baada ya kula keki zenye bangi
Wanafunzi wasiopungua 90 wa shule ya msingi Soshanguve iliyopo South Africa, wamelazwa hospitali baada ya kula ‘keki’ zinazodaiwa kuchanganywa na bangi.Kwa mujibu ...
08
Diva: Nina mawigi mengi kuliko sufuria za kupikia
Baada ya kuwa na story nyingi kuhusiana na mtangazaji maarufu nchini Diva kuto badilisha ‘wigi’, hatimaye amevunja ukimya na kuweka sawa jambo hilo, wakati akifany...
02
Simu zenye nembo ya Twitter zageuka kuwa ‘Dili’
Ikiwa zimepita siku chache baada ya mtandao wa Twitter kufanyiwa mabadiliko kwenye upande wa Logo yake kutokana na mmliki mpya wa mtandao huo Elon Musk kutaka kuanza upya kwa ...
26
WHO yatoa tahadhari kuhusu dawa ya kikohozi ya maji
Shirika la Afya duniani (WHO) limesema kwamba shehena ya dawa ya kikohozi yenye sumu ya India  imepatikana katika visiwa vya Marshall na Micronesia. WHO ilisema kuwa samp...

Latest Post