09
Zanzibar Reggae Festival kuanza leo
Tamasha kubwa la muziki wa Rege (Reggae) Zanzibar msimu wa Sita linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia leo usiku Agosti 9-10, 2024, Mambo Club ndani ya Ngome Kongwe, Un...
06
Bongo Movie yapata mtetezi mpya
Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya filamu nchini Tanzania, maarufu kama Bongo Movies, imeonekana kukua kwa kiasi fulani. Hata hivyo, licha ya ukuaji huo bado kunaonekana...
05
Niliyoyaona kwenye tuzo za filamu Zanzibar ZIFF hayafurahishi
Kwa niliyoyaona siku nne za tamasha la 27 la filamu za kimataifa Zanzibar 'ZIFF' nadhani yanaweza kuelezeka kwa msemo wa "ng'ombe unaweza kumpeleka mtoni lakini hauwezi kumlaz...
29
Staa wa Man United atembelea Mikumi, Visiwa Vya Karafuu Zanzibar
Tanzania imeendelea kuwa kivutio cha watalii kuja kupumzika na kutembelea vituo vilivyopo, hii ni baada ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa Morocco, Sofyan Amrabat...
06
Zuchu aomba radhi kwa jamii
Baada ya kuomba radhi kupitia ‘Lebo’ yake ya WCB kufuatiwa na kutumia lugha isiyofaa katika show yake ya Fullmoon Kendwa Visiwani Zanzibar na kupelekea kufungiwa k...
05
Zuchu afungiwa kufanya shughuli za sanaa Zanzibar
Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzi...
09
Luisa atimiza ndoto ya kutembea nchi zote duniani
Bibi wa miaka 79 anayefahamika kwa jina la Luisa Yu mzaliwa wa Ufilipino,ametimiza ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani kama alivyokuwa akitamani.Bibi huyo amekuwa na ta...
28
Mwakinyo aondoka na mkanda wa WBO Zanzibar
Hatimaye bondia wa Tanzania, #HassanMwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ‘WBO’ Africa Middle Weight baada ya kumuangushia kipigo cha ‘KO’ ya raundi ...
07
Mwakinyo abadilishiwa mpinzani, Kuzichapa na Mcongo
Bondia Hassan Mwakinyo Januari 27 atapambana ulingoni kuwania ubingwa wa WBO Afrika ambapo atapambana na bondia tofauti na yule aliyetangazwa awali Erick Msambudzi kutoka Zimb...
08
Mwakinyo kuingia ulingoni Zanzibar
Licha ya kufungiwa mwaka mmoja na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania Bara (TPBRC), bondia Hassan Mwakinyo ameibukia visiwani Zanzibar na anatarajiwa kuingia ulingoni Novem...
23
Vazi la khanga linavyo potea kwa wanawake wa sasa
  Khanga ni vazi linalosifika kutokana na mtindo wake wa kuandikwa jumbe nyingi zenye maana na mafumbo mbalimbali lakini hivi sasa mambo ni tofauti kwani yamekuja mavazi ...
12
Adaiwa kujiua kwa kunywa sumu kisa madeni
Veronika Peter mwenye umri wa miaka 46 mkazi wa Zanzibar anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu akidaiwa kuelemewa na madeni mengi ya mkopo yaliyomshinda kulipa. Kamanda wa Polisi M...
11
Ukitaka kusuka kibali million 1, Zanzibar
Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar Dkt. Omar amesema Askari wake wameanza kukamata Wanaume wote wanaosuka nywele kama za Wasichana wakiwa Z...
13
Harmonize hakuwa na kibali kurekodi Zanzibar
Sasa mambo hadharani!!! Yapata siku kadhaa zimepita tangu msanii Harmonize atuonyeshe kwenye mitandao ya kijamii kuwa yuko Zanzibar kwa ajili ya kushoot video za baadhi ya nyi...

Latest Post