18
Tatizo la msongo wa mawazo kwa wanachuo
Na Michael OneshaMsongo wa mawazo ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa. Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo viumbe...
04
Wanachuo jifunzeni njia za kupata wazo la biashara
Na Michael Onesha Pande za vyuo mambo vipi! leo tena kipande hiki cha uncorner tumewaletea makala inayohusu masuala ya biashara kwa wasomi wa vyuo, ili kuishi maisha yasiyoumi...
18
Mwanachuo hizi ndizo biashara za kufanya ukiwa likizo
Udugu ulitolewa valentine au nikuache kidogo sio shida zako, hahahha! Maana wanachuo ndo mambo yenu haya, lakini mwaka huu mmetuangusha sana hampendwi nini (jokes). Sasa bwana...
11
Mambo ya kuzingatia kwa wanachuo
Oohoooo! Wanachuo kama likizo inaisha hivi au bado, vipi kwa upande wake GPA inasoma ngapi au tukuache kidogo sio shida zako, basi hayaa, leo kwenye UniCorner tumekusogezea ma...
16
Vitu 10 Mwanachuo anapaswa kuvifanya mapema
Kipindi uko chuo ni kipindi ambacho una mambo mengi ya kufanya kwaajili ya masomo lakini pia muda mwingine una muda mwingi ambao unaweza ukauwekeza kwenye kujiendeleza wewe mw...
10
Zijue Biashara zinazoweza kufanywa na Mwanachuo
Nafahamu kuwa mwanafunzi wengi hasa wa vyuo wana vitu vingi vya kufanya ikiwemo masomo, mitihani hata kufurahi pamoja na wenzako. Hata hivyo ni wazi kuwa ni ngumu mwanafunzi k...
12
Ataja biashara zinazoweza kufanywa na mwanachuo
Nafahamu kuwa mwanafunzi wengi hasa wa vyuo wana vitu vingi vya kufanya ikiwemo masomo, mitihani hata kufurahi pamoja na wenzako. Hata hivyo ni wazi kuwa ni ngumu mwanafunzi k...
18
Meet GANSLAY, Mwanachuo UDSM mwenye kipaji hatari cha comedy
People say ‘there is nothing sweet without sweating for it.’ Kwa wale wapambanaji wenzangu itakua wananipata vyema sana kwa kauli hii, lakini pia waswahili wanasem...

Latest Post