Mshindi wa ndondi wa zamani nchini Urusi, Renat Agzamov, amegeukia kwenye utengenezaji keki zinazofanana na majumba ya hadithi za kale.Kabla ya kuwa bondia, Renat akiwa na umr...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #SpartakMoscow kutoka nchini Urusi, #QuincyPromes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevy...
Ndege ya kivita aina ya Su-34 ilirusha bomu la anga kwa bahati mbaya, baada ya kushambulia mji wa Belgorodi inasemekana haikuwa na lengo la kusababisha maafa hayo.
Tukio hilo ...
Rais kutoka nchini Ukraine, Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi.
Makubaliano hayo yamefaniki...
Bunge dogo la Urusi limepiga kura kwa kauli moja kuongeza marufuku yake kwa kile kinachoitwa "propaganda za mapenzi ya jinsia moja". Chini ya toleo la hivi punde la sheria, u...
Urusi inatarajia kupitisha muswada wa marufuku dhidi ya kueneza kile kinachoitwa "propaganda za wapenzi wa jinsia moja" kwa watu wote. Sheria itaruhusu taarifa yoyote kwenye ...
Watu 13 wakiwemo watoto 3 wamefariki baada ya ndege ya kivita ya Urusi kuanguka kwenye jumba la makazi katika mji wa kusini ya Yeysk, muda mfupi tu baada ya kupaa angani.
Watu...
Aisee hii ni kubwa kuliko ambapo unaambiwa Rapper Kanye West anaripotiwa kuelekea nchini Urusi kukutana na Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin pamoja na kujipatia makazi ma...