06
Baltasar Engonga afananishwa na Diddy
Baada ya zaidi ya video 300 za ngono kusambaa katika mitandao ya kijamii za Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) kutoka Guinea ya Ikweta Baltasar...
24
Al B aomba uchunguzi ufanyike, kifo cha ex wa Diddy
Mwanamuziki wa Marekani Al B. Sure ambaye pia ni mzazi mweza wa Kimberly Porter ameiomba mahakama kufanya uchunguzi upya kuhusiana na kifo cha mwanadada huyo ambaye pia alikuw...
11
Jason Derulo anaamini Diddy hana hatia
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia. Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
04
Dj Stivie j aendelea kumkingia kifua Diddy
Baada ya nyaraka za kesi zilizofunguliwa na mtayarishaji Rodney Jones dhidi ya Diddy zikidai kuwa Party zinazofanyika nyumbani kwa Combs zimekuwa zikijikita katika biashara ya...
27
Muonekano wa ndani nyumbani kwa P Diddy baada ya Uchunguzi wa Polisi
Video fupi iliyotolewa na mtandao wa TMZ ikionesha hali ilivyo ndani ya nyumba ya P Diddy iliyopo Miami baada ya kufanyiwa uchungu...
22
Dk Richard aeleza uchunguzi wa maiti ya Mohbad
Ikiwa imepita miezi sita sasa tangu mwili wa marehemu mwanamuziki wa Nigeria, Mohbad kufukuliwa, sasa imeripotiwa kuwa matokeo ya uchunguzi wa maiti hiyo yatakuwa tayari wiki ...
23
Shabiki aliyemuita Kipa nyani afungiwa
Shabiki anayedaiwa kufanya ubaguzi wa rangi kwa ‘golikipa’ wa ‘klabu’ ya #ACMilan, #MikeMaignan amefungiwa kutohudhuria katika viwanja vyote vya soka v...
10
Davido kuchunguzwa
Jeshi la Polisi nchini Nigeria limeanza uchunguzi dhidi ya mkali wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumpa vitisho na kmufanyia ukatili wa kimwili, msanii mwenzie #TiwaSa...
27
Amkata mumewe sehemu za siri na kuzitupa chooni
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil mwenye umri wa miaka 34 ambaye hajafahamika jina amejisalimisha kwa polisi Disemba 22 na kukiri kukata sehemu za siri za mumewe na kuzitupa...
03
Wasimamishwa kazi kwa tuhuma za kutumia dripu kusherehekea birthday
Watumishi watatu wa Hospitali binafsi ya Sakamu iliyopo mkoani Geita wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi kufuatia video inayosam...
09
Kenya yaongoza kwa ukarimu Afrika
Kwa mujibu wa shirika la kutoa misaada la kibinadamu la The Charities Aid Foundation (CAF) imetaja kuwa Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa ukarimu Afrika. Ambapo imetajwa kuwa n...
29
Perry afariki kwa mshutuko
Muigizaji kutoka nchini Marekani Matthew Perry amefariki dunia baada ya kupata mshtuko na kudondokea kwenye Jacuzzi nyumbani kwake Los Angeles jana Jumamosi.kwa mujibu wa vyom...
05
Naira Marley na Sama waswekwa rumande siku 21, Kifo cha Mohbad
Kufuatia uchunguzi unaoendelea wa kifo cha MohBad, taarifa mpya zinaeleza kuwa ‘rapa’ Naira Marley na ‘promota’ wake Sam Larry wameamriwa kukaa rumande...
04
Naira Marley ashikiriwa na polisi kwa uchunguzi, Kifo cha MohBad
Baada ya ‘rapa’ kutoka nchini Nigeria Naira Marley kutoa tamko la kurudi nchini humo kwa ajili ya kusaidia uchunguzi kufuatia kifo cha mwanamuziki MohBad hatimaye ...

Latest Post