13
Travis Ashtakiwa kwa kuharibu ujauzito wa shabiki
Msanii maarufu nchini Marekani Travis Scott anashatkiwa na mtu mwingine tena ajulikanaye kwa jina la Shanazia Williams aliyehudhuria tamasha lake kubwa duniani la mAstroworld....
10
Gucci Mane ampa shabiki Milioni 11.6
Moja ya story inayotrend katika mitandao ya kijamii ni hii ya msanii kutokea pande za Marekani, Gucci Mane kumpatia shabiki yake takribani Sh. Milioni 11.6. Mane ametoa kiasi ...
03
Mashabiki wamtunza sidiria Burna Boy
Moja ya story inayotrend bado katika mitandao ya kijamii ni hii ya The African Giant Burna Boy ambaye mashabiki wa kike Jijini New York nchini Marekani walimtunza zawadi ya si...
02
Baba Levo awashukuru mashabiki zake
Msanii  Baba levo bwana amewashukuru mashabiki wa Muziki wake mara baada ya kupokea Tuzo maalum ya kufikisha wafuasi (Subscribers) laki moja katika mtandao wa Youtube. S...
18
Nlechoppa azichapa na shabiki wa NBA
Unaambiwa haikua siku nzuri kwa Rapa NleChoppa baada ya kuingia kwenye ugomvi na shabiki wa NBA Young boy Airpot. Taarifa zinaeleza sababu ya ugomvi huo inasemekana kuwa ni ba...
03
Diamond ashika namba 1 Tanzania
Msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz ametajwa kuwa msanii namba moja Tanzania aliyesikilizwa zaidi katika mtandao wa Spotify kwa mwaka ...
22
Rosa Ree awajibu mashabiki zake
Rapper kutoka nchini Tanzania Rosary Rober maarufu kama Rosa ree ametoa povu kwa Kuwajibu Baadhi Ya Mashabiki Wake Ambao Walikua Wakidauti Kuvalishwa Kwake Pete Kuwa Huenda Ik...
10
Baraka The Prince kuachia EP yake
Ohooo!!! Star wa Muziki hapa nchini Baraka the Prience ametoa taarifa njema kwa mashabiki zake juu ya ujio wa Ep yake mpya ya hivi karibuni. Kutoka ukurasa wake wa Instagram a...
10
Mashabiki wamjia juu Wema Sepetu
Baadhi ya mashabiki wa staa wa filamu nchini, Wema Sepetu wamemjia juu msanii huyo baada ya kufunguka kuwa anapendwa kupiga hasa na mpenzi wake. Wema amepokea makombora makali...

Latest Post