Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Ikiwa umepita mwezi, bila mashabiki kusikia chochote kuhusiana na bifu la wasanii Drake na Kendrick Lamar, sasa inaonekana kama Drake amekubali kushindwa, baada ya kufuta maud...