14
Kim kumrithisha mwanae pete ya almasi
Peter AkaroMwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian (44) amepanga kumpa mtoto wake wa kwanza, North, 11, pete ya almasi aliyovishwa wakati anachumbiwa na aliyekuwa mume wake, ...
15
Kim Kardashian: Naenjoy kuwa Single
Mfanyabiashara kutoka Marekani Kim Kardashian amefunguka kuwa kwa sasa hana mpango wa kuingia kwenye mahusiano kwani anaenjoy kuwa single.Kim ameyasema hayo wakati alipokuwa k...
10
Blueface ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela
‘Rapa’ Blueface ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela, baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga mlinzi wa hoteli mwaka 2012 huko North Hollywood.TMZ iliripoti kuwa me...
05
Mama Kama Mtoto
Baada ya mtoto wa Kim Kardashian, North West kushambuliwa kupitia mitandao ya kijamii akifananishwa na kifaranga kupitia vazi lake la manyoa, sasa ni zamu ya mama yake kuzodol...
11
Mtoto wa Kanye West mbioni kuachia albamu yake
Binti wa mwanamuziki Kanye West, North West (10) ametangaza ujio wa album yake wakati alipokuwa jukwaani na baba yake usiku wa kuamkia leo katika ‘Vultures 2 listening p...
28
Ifahamu Hotel hatari zaidi duniani
Tunajua umeshazoea kutembelea katika hotel zenye vivutio mbalimbali vya aina yake lakini sijui kama unafahamu kuhusiana na hotel hatari zaidi duniani ambayo ipo katikati ya ba...
12
Kanye West amsogeza mwanaye kwenye muziki
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest amemtambulisha rasmi mtoto wake #NorthWest katika ulimwengu wa muziki kwa kumshirikisha kwenye Album yake mpya ya ‘Vultere...
03
Kim azungumzia mtindo wa maisha wa Kanye West
Mwanamitindo na mfanyabiashara Kim Kardashian, ameeleza kuwa aliyekuwa mume wake Kanye West kwa sasa amebadilisha mtindo wake wa kuishi.Kim ameyasema hayo kupitia kipindi chao...
23
Kim azua taharuki kwenye mtandao wa X, picha aliyochora mwanaye yamponza
Mfanyabiashara na mwanamitindo Kim Kardashian ajikuta akizua taharuki na kuitwa muongo kwenye mtandao wa X,baada ya ku-post mchoro...
22
Google Map yashitakiwa kwa kusababisha kifo
Kampuni ya Google, upande Google map imeshitakiwa na familia ya Philip Paxson baada ya Google Map kusababisha kifo cha ndugu yao huyo aliyekuwa akisafiri kwa kutumia muongozo ...
21
Muonekano mpya wa Tory Lanez akiwa gerezani
Hatimaye ‘Rapa’ Tory Lanez week hii amefikishwa gerezani kwa ajili ya kutumikia kifungo cha miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Three S...
11
Wezi wavunja na kuiba perfume zanye thamani ya zaidi ya sh 50 milioni
Wezi sita wavunja vioo vya duka la urembo la Macy’s lililopo Northridge, kwa kutumia nyundo na kisha kuiba manukato ya ...
01
Wiki moja baada ya kifo cha Baba yake muigizaji Angus naye fariki
Muigizaji Angus Cloud kutoka nchini Marekani ambaye alifiwa na baba yake wiki moja iliyopita naye  amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa mama yake zinadai k...

Latest Post