28
Simba, Kiba, Konde uso kwa uso kwenye Listening Party Ya Marioo
Wanamuziki maarufu wa Bongo Fleva ambao wanaushindani mkubwa katika tasnia ya muziki Diamond, Alikiba na Harmonize wanatarajiwa kuonana uso kwa uso katika sherehe ya ‘Li...
13
Tems, Rema, Tyla kwenye Playlist ya Obama
Kama ilivyo desturi kwa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kila ifikapo katikati na mwisho wa mwaka kuachia Listi ya ngoma anazopenda kuzisikiliza, hatimaye usiku wa kuam...
26
Mwamuzi adondoka uwanjani, Sababu joto kali
Katika michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani, imeripotiwa kuwa mwamuzi msaidizi #HumbertoPanjoj aliyekuwa akichezea ‘mechi’ ya Peru na Canada amedo...
28
Nyumba iliyoigiziwa filamu ya Home Alone yauzwa
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inauzwa.Nyumba hiyo ambayo im...
28
Rosa Ree aingia kwenye listi ya Grammy
Mwanamuziki wa Hip-Hop nchini #RosaRee ametajwa kwenye orodha ya #Grammy ambayo imewaangazia wasanii wakike10 wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutiliwa maanani kutokana na ubor...
15
Mo Music: Baba Levo alistahili
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #MoMusic ameeleza kuwa #BabaLevo alistahili kupigwa na #Harmonize, huku akidai kuwa hata angekuwa yeye angefanya hivyo hivyo. Mo ameyasema hayo kup...
01
Davido: Nilistahili kuwa na tuzo 20 za Grammy
Mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido amesema kuwa mpaka alipofikia alistahili kuwa na Tuzo 20 za #Grammy kutokana na ngoma zake kupigwa nchi tofauti tofauti. Davido...
10
Enjoy ya Jux yamkosha Lupita
Ngoma ya Jux aliyomshirikisha Diamond Platnumz yaingia kwenye listi ya muigizaji kutoka nchini Kenya Lupita Nyong’o ukiwa ni wimbo namba saba kati ya kumi alizo ziorodhe...
30
Ngoma 28 zilizomkosha Obama 2023
Ikiwa zimepita siku mbili tangu aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kuachi orodha ya filamu zilizomkosha kwa mwaka 2023, sasa ameshusha mkeka mwingine wa ngoma anazozikuba...
28
Movie zilizomkosha Obama 2023
Kama ilivyo kawaida kwa watu maarufu, mwisho wa mwaka kuachia list ya ngoma, vitabu na filamu zilizowakosha kwa mwaka huo, aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama ameachia mke...
29
Wanamuziki wa Nigeria watamba Ghana
Mtandao wa kusikiliza muziki wa ‘Apple Music’ kutoka nchini Ghana umetoa orodha ya ngoma 10 bora ambazo zimesikilizwa zaidi nchini humo kwa mwaka 2023 ambapo ngoma...
09
Rick Ross na Meek Mill watanguliza Tracklist ya Albumu yao
Wanamuziki kutoka nchini #Marekani, #RickRoss na #MeekMill wameachia Tracklist ya Albamu yao ya pamoja 'Too Good to Be True' ambayo itatoka rasmi Ijumaa, Novemba 10 mwaka huu....
31
Unadhani Messi alistahiri kushinda Ballon d’Or 2023
Mshambuliaji wa ‘timu’ ya Taifa Argentina na ‘Klabu’ ya Inter Miami ya Marekani, Lionel Messi amefanikiwa kushinda Tuzo ya Ballon d’Or 2023 na ku...
07
Cr 7 hayupo kwenye ‘list’ ya tuzo za Ballon d’Or
Baada ya mkeka wa ‘listi’ ya wanaowania tuzo ya Ballon d’or kuwekwa wazi wadau mbalimbali wa mpira wa miguu wameshangazwa na mchezaji kutoka ‘timu&rsqu...

Latest Post