Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Lady Jaydee ‘Jide’ ameendelea kuvuka mipaka sasa amesaini mkataba na lebo ya Kimataifa ya muziki ya ‘Universal Music East A...
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Mwanamuziki mkongwe nchini #LadyJaydee anayezidi kutamba na kibao chake cha ‘Mambo matano’, katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video na kuandika ujumbe aki...
Mwanamuziki mkongwe nchini Lady JayDee atoa pongezi kwa mtayarishaji wa muziki Andy Muzic wa nchini Uganda pamoja na mkongwe #RamaDee kwa kuhusika moja kwa moja kwenye wimbo w...
Mwanamuziki #RamaDee amefunguka ukaribu wake na mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee kutokana na baadhi ya watu kudai kuwa huwenda wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapen...
Msanii wa Bongo Fleva Lady Jaydee ametoa nafasi tano za ufadhili wa masomo kwa ngazi ya chuo kwa watu ambao wazazi au walezi wao hawana uwezo wa kumudu gharama za kulipia ada....
Uko powa mwanangu sana leo kwenye Throwback Thusday (TBT) tumekuletea mwanadada shupavu na kipenzi cha wengi na huyu si mwingine ni Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee.
Ms...