19
Jinsi Ya Kutengeneza Juisi Nzuri Ya Nanasi
Mwili unapokosa kinga imara, unakuwa katika hatari ya kushambuliwa na kila aina ya magonjwa, lakini nanasi lina sifa ya kukabiliana na hali hiyo.   Nanasi ni moja kati ya...
07
Jinsi Ya Kutengeneza Juice Ya Nyanya
Kwa kawaida watu wengi wanafahamu kuwa nyanya ni kiungo ambacho kinatumika katika kuungia mboga lakini pia ni tunda ambalo baadhi ya watu hupendelea kulila bila kufahamu unawe...
12
Jinsi Ya Kutengeneza Juice Ya Ukwaju Nzuri
Juice ya ukwaju ni moja ya kinywaji kinachosifika kuwa na ladha nzuri. Tunda ukwaju lenye wingi wa Vitamin B, C, K na aina nyingine za madini yenye faida mwilini, linaweza kut...
05
Jinsi ya kutengeneza juisi ya Ndimu
Post Desc Ndimu ikitumiwa kila siku huweza kupunguza uwezekano wa mtumiaji kupatwa na ugonjwa wa kupooza. Hii ni kwa mujibu wa American Heart Association ya nchini Marekani. T...
02
Jinsi ya kupika urojo kwa ajili ya biashara
Ubaya ubwela, yaani ni mwendo wa ku-force mambo tuu, wiki hii kupitia biashara tumeangazia, namna ambavyo  biashara ya urojo inaweza kukuingizia kipato endapo utaifanya k...
01
Jinsi ya kutengeneza Scrub ya Kahawa
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, basi hapo kwenye kazi iendelee, Mwananchi Scoop imekuletea mbinu za kibishara zitazofanya ujipatie maokoto kila kukich...
01
Jinsi Ya Kutengeneza Achari (Ubuyu Wa Embe)
Niaje niaje matajiri wangu, kama kawaida kila wiki tunakutana kwenye chimbo letu la Biashara ambapo tunafundishana mambo mbalimbali kuhusiana na biashara, ujasiriamali nk. Na ...
14
Jinsi ya kuficha baadhi ya SMS za Whatsapp
Je unatamani kuficha baadhi ya chats zako wengine wasizione? Kama ulikuwa unatumia njia ya kufungua WhatsApp yako na kuingia kwa Face ID au Passcode, sasa unaweza kuachana na ...
04
Diddy auza nyumba yake ya Los Angeles
Mfanyabiashara na mkali wa Hip-hop Marekani Diddy Combs ameripotiwa kuuza jumba lake la kifahari lililopo jijini Los Angles kwa dola milioni 70 ikiwa ni sawa na Sh 185.8 bilio...
27
Jinsi ya kuongeza thamani yako ukiwa chuoni
Na Michael Onesha Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa ni wewe mwenyewe. Rule namba moja ukiwa kama kijana wakike au wa kiume unatakiwa kujiona wa t...
26
Elon Musk ahudhuria harusi ya Ex wake
Mmiliki wa mtandao wa X (zamani Twitter) na mfanyabiashara Elon Musk ameripotiwa kuwa na maelewano mazuri na aliyekuwa mke wake Talulah Riley hii ni baada ya kuonekana kwenye ...
12
Robinho ajifunza ufundi Tv gerezani
‘Fowadi’ wa zamani wa Real Madrid, Manchester City na Brazil, Robinho ameanza kujifunza ufundi wa vifaaa vya umeme, ikiwamo kutengeneza televisheni akiwa gerezani ...
10
Jinsi ya kupaka Make-Up
Ulimwengu wa fashoon unabebwa na vitu vingi, kutokana na hilo jarida la Mwananchi Scoop, limekusogezea njia za kupaka make-up simple. Kama inavyofahamika urembo ni kitu muhimu...
10
Jinsi ya kupika pilau kwa ajili ya biashara
  Na Aisha Lungato Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau. Waswahili wanas...

Latest Post