22
Mbinu Inayotumia Kuzuia Majanga Ya Moto Japan
Kama hukuwahi kuona hii, fahamu kupitia Mwananchi Scoop wakazi wa kijiji cha Shirakawa-go, Wilaya ya Gifu nchini Japan wametengeneza mfumo wa kipekee wa kuzuia moto kuunguza n...
22
Diamond Aongeza Gari, Moja Wapo Haipitishi Risasi
Msanii Diamond Platnumz anaripotiwa kununua gari zingine mbili aina ya mercedes Benz nyeusi ambapo inaelezwa kuwa moja kati ya hizo haipitishi risasi yaani 'Bullet Proff'. Taa...
22
Huwenda Mpenzi Wa Rihanna Akatupwa Jela Miaka 24
Uchunguzi bado unaendelea Los Angeles katika kesi inayomkabili rapa ASAP Rocky, ambaye anakabiliwa na mashtaka mawili ya uhalifu, akidaiwa kumpiga risasi rafiki yake wa zamani...
21
SAUTI ZA BUSARA KUJA KIVINGINE 2025
Toleo la 22 la tamasha la muziki la Sauti za Busara linalofanyika kila mwaka mwezi Februari Visiwani Zanzibar, limetajwa kuja kivingine huku likiongeza wasanii wa ndani na nje...
21
Beiber ageuka gumzo, ampinguza mkewe
Mwanamuziki Justin Bieber amewashtua mashabiki baada ya kufuta urafiki na mkewe Hailey Bieber kwenye mtandao wa Instagram jambo ambalo limeibua mijadala mtandaoni. Hatua hii i...
21
Frida Amani Kukiwasha Sauti Za Busara 2025
Mwanamuziki wa Hip Hop na mtangazaji nchini Frida Amani anatarajiwa kufanya show katika tamasha la Sauti za Busara 2025, linalotarajia kufanyika kuanzia Februari 14 hadi 16.St...
20
Wakali hawa wanainyoosha Hip Hop kwa simulizi
Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
18
Albamu Mpya Ya Nandy 2025 Ina Maana Gani
Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...
18
Saif Ali Khan Kuruhusiwa Kutoka Hospitali Ndani Ya Siku Tatu
Baada ya mwigizaji nguli wa Bollywood kutoka India Saif Ali Khan kufanyiwa upasuaji wa dharura baada ya kushambuliwa na jambazi na kuchomwa kisu, hatimaye madakatari wameweka ...
18
Nyumba Iliyoigiziwa Home Alone Yauzwa Rasmi
Nyumba maarufu iliyopo katika kitongoji cha Winnetka, Illinois Chicago ambayo ilitumika kuigizia filamu ya ‘Home Alone’ ya mwaka 1990 inimeuzwa rasmi.Nyumba hiyo i...
18
Kifaa Kinachoweza Kuchaji Simu Sekunde Mbili Asilimia 100 Chazinduliwa
Kampuni wa Swippitt ambayo inajihusisha na utengenezaji wa vitu mbalimbali vya umeme wakati wa onesho la Ces 2025, imezindua kifaa...
17
Hii Ndio Filamu Ya Kwanza Ya Tupac
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
17
Challenge Ya Tiktok Yamponza Mhudumu Wa Ndege, Afukuzwa Kazi
Aliyekuwa mhudumu wa shirika la ndege la ‘Alaska Airlines’ Nelle Diala amefukuzwa kazi baada ya video yake akiwa anakatika viuno (kucheza) kusambaa kwenye mitandao...
17
Diamond Anaingiza Mkwanja Huu Youtube
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...

Latest Post