05
Zifahamu njia sahihi ya kuacha kazi
Kama wewe ni mwajiriwa unayefikiria kuacha kazi, ni muhimu kujua kwamba hatua hiyo siyo tu kuhusu kutoa taarifa ya kuondoka, bali inahusisha kupanga kwa uangalifu ili kuendele...
04
Kifahamu kijiji chenye uhaba wa wanaume
Na Asma HamisKuishi kwingi ndiyo kuona mengi msemo huu wa wahenga unajionesha katika kijiji cha Noiva do Cordeiro kilichopo nchini Brazil chenye watu 600.Kijiji hicho kinaripo...
20
Ifahamu masaji inayofanywa kwa kupigwa makofi
Kawaida imezoeleka masaji hufanywa taratibu kwa lengo la kuondoa uchovu,lakini hilo ni tofauti kwa masaji ya kichwa ambayo inafanyika kwa muhusika kupigwa makofi kichwani.Mako...
01
Kifahamu kitambaa aina ya Durag
Na Glorian Sulle Ni kweli suala la mitindo na fasheni ni marudio ya vile vilivyopita , katika kutafuta mitindo mipya  kuna wale wanaogeuza matumizi ya mavazi au mitindo h...
11
Suge Knight adai Diddy ni FBI
Mwanzilishi mwenza wa rekodi lebo ya ‘Death Row Records’ kutoka Marekani Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela amedai kuwa mkali wa Hip...
28
Kifahamu kijiji kinachotumia jua bandia
Binadamu huwa wabunifu zaidi wanapopitia changamoto fulani, kauli hiyo unaweza kuielezea kutokana na ubunifu wa kulileta jua kwa kutumia kioo katika Kijiji cha Viganella nchin...
19
Ifahamu wine iliyotengenezwa kwa kutumia nyoka
Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni, wakati baadhi ya watu wakitumia mvinyo uliotengenezwa na zabibu kwa ajili ya kujiburudisha, fahamu kuwa wapo wanaotumi mvinyo uliote...
05
Ifahamu kazi ngumu zaidi Ufaransa
Ulimwenguni zipo kazi mbalimbalia ambazo watu huzifanya bila kujali ugumu wake, kikubwa mkono uende kinywani. Ni ngumi kuelewa raha na karaha ya kazi fulani kama hauifanyi wew...
28
Ifahamu Hotel hatari zaidi duniani
Tunajua umeshazoea kutembelea katika hotel zenye vivutio mbalimbali vya aina yake lakini sijui kama unafahamu kuhusiana na hotel hatari zaidi duniani ambayo ipo katikati ya ba...
10
Ifahamu barakoa ya kidijitali, inauzwa dola 600
Kampuni ya Skyted imezindua barakoa ya kidijitali ambayo inaweza kumruhusu mtumiaji kufanya mazungumzo ya siri hadharani bila ya watu wengine kusikia.Barakoa hiyo iliyopewa ji...
07
Ifahamu mitindo ya Afro inayobamba
Aisha Charles Hii ni special kwa ajili yako wewe msomaji wa magazine ya Mwananchi Scoop kama kawaida tumekutana tena katika segment ya Fashion ili kuweza kujua yale ambayo yat...
27
Ifahamu siri ya msitu wenye umbo la gitaa
Mkulima mmoja kutoka nchini Argentina, Pedro Martin aliamua kumuenzi marehemu mkewe aliyefahamika kwa jina la Graciela kwa kutengeneza umbo la Gitaa kwa kutumia miti ili mkewe...
14
Ifahamu kazi ya uwazi uliyopo kwenye mfuniko wa peni
Wapo baadhi ya watu ambao wakati wa kutumia peni hupendelea iwe  na kifuniko  chake, huku sababu kubwa ya kutaka kiwepo wanadai peni inakuwa nzito hivyo inawapa urah...
18
Ifahamu kampuni inayotoa huduma ya kuwaliza watu na kuwafuta machozi
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wakati baadhi ya watu wakilalamikia ukosefu wa ajira fahamu kuwa nchini Japan kuna watu w...

Latest Post