Baada ya kuwepo kwa minong’ono kwa baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii ikidai kutoelewa jina la wimbo wa msanii wa Injili Joel Lwaga, ‘Olodumare’, hat...
Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid ameandika historia nyingine katika tasnia ya muziki wa Afrobeats kwa kuachia albamu yake ya sita leo Novemba 22, 2024 iitwayo ‘Morayo&rsquo...
Joseph Silumbe ambaye ni mtoto wa marehemu msanii mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu 'King Kikii' amesema baba yake amefariki kwa maradhi ya sarat...
Na Glorian Sulle
Katika dunia ya mambo ya kisasa, mikoba inachukua nafasi muhimu kama kipande cha kifaa au urembo unaongeza ufanisi na urembo.
Swala hili, naongea na wananume ...
Mtazamo. Wimbo wa Afande Sele, na wale 'Bigi Mani' wenzake kwenye 'gemu'. Solo Thang Ulamaa na Prof. Jay The Heavy Weight Mc. Kilinuka sana humo ndani chini Producer Majani. N...
Imeripotiwa kuwa, Arsenal inakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua beki wa Italia na Klabu ya Bologna, Riccardo Calafiori.
Aidha inaelezwa kuwa, Bologna imeweka dau la pauni...
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Mamelod Sundowns, Rulani Mokwena ameripotiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kama kocha mkuu katika timu ya Wydad Casablanca.
Inaelezwa kuwa Mokwen...
Baba mzazi wa marehemu mwanamuziki Mohbad, Joseph Aloba ametoa wito kwa wanawake ambao waliwahi kuzaa na Mohbad wajitokeze.
Aloba ameyasema hayo kupitia video aliyoichapisha k...
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...
Mwanamuziki kutoka Marekani Eminem ametangaza ujio wa wimbo wake mpya ambao utaachiwa siku ya Ijumaa Mei 31, 2024 alioupa jina la ‘Houdini’.Kupitia ukurasa wake wa...
Na Michael OneshaNiaje niaje watu wangu wa nguvu, leo ndani ya unicorner nimekusogezea mada ambayo inakuamsha wewe mwanafunzi wa chuo ambaye bado umeamua kukumbatia matatizo y...
Kila ifikapo tarehe ya leo Mei 9, ulimwengu unaadhimisha siku ya soksi zilizopotea.
Katika siku hii mataifa mbalimbali husherehekea kwa kutupa soksi zilizobaki ambazo hazina m...
Marvel Studios na Sony Pictures zipo kwenye mpango wa kuanza kurekodi filamu ya "Spider-Man 4" itayoongozwa na Tom Holland, Septemba mwaka huu, na itatolewa mwishoni mwa 2025....