Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mw...
Ndoa, ni muungano ulioidhinishwa kisheria na kijamii, kwa kawaida kati ya mwanamume na mwanamke hukubaliana kwa pamoja kuingia katika hatua hiyo pindi wamalizapo kujuana kwa k...
Wanamuziki wenyewe wanaendeshwa na umbea. Hawaumizi tena vichwa vyao, wanachofanya ni kupita kwenye maeneo yale yale ya umbea. Matokeo yake Hamisa anatajwa hata mara tatu kati...
Leo katika Fashion tumekusogezea baadhi ya wasanii waliotokelezea katika upande wa mavazi na wale ambao waliwashangaza watu kwa mitindo ya mavazi yaani walitoa booko hah...
Mfanyabiashara Kelvin Sowax ambaye pia ni mpenzi wa mrembo Hamisa Mobetto kupitia Instastory yake ame-share picha ya rapper kutoka Marekani, Kanye West akiwa na mkewe Bianca n...
Mpenzi wa mwadada Hamisa Mobetto, @kevinsowax amekiri kufunga ndoa na mrembo huyo baada ya kuoneshwa mahaba mazito na Hamisa sasa amua kuweka wazi kuwepo kwa ndoa yao.
Katika ...
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
Afisa Habari wa #Yanga Ali Shabani Kamwe amfikishia ujumbe mwanadada Hamisa Mobetto kuwa amesikia alivyomuita ‘kid’ na kudai kuwa siku akilewa atatoka hadharani na...
Katika kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake Hamisa Mobetto ameonesha furaha yake kwa kuandika maneno ya upendo kwa mtoto huyo wa pili, ambaye siku ya leo anasherekea kumbukumb...
Ukisikia kujipata basi Hamisa Mobetto amejipata haswa, usiku wa kuamkia leo mrembo huyo amefanya party nchini China akiwa na mpenzi wake mpya anayefahamika kama Kevin Sowax.Am...
Muingizaji wa #BongoMovie Elizabeth Michael (Lulu), kama ilivyo kawaida yake kutovumilia maneno ya mashabiki kwenye mitandao ya kijamii, kwa mara nyingine tena #Lulu ama...
Baada ya kuwa na tetesi za penzi jipya la mrembo Hamisa Mobetto, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mwanaume ambaye anaonekana upade wa mgongo na kupelekea wengi kutaka kuf...